Saturday, January 13, 2018

WANANCHI WA KIMANDOLU WAJITOKEZA KUPIGA KURA

 Mpiga kura akitumbukiza shahada yake baada ya kumaliza kupiga kura.
Mmoja wa wananchi  akipiga kura ya kumchagua diwani wa kata katika Kituo cha Kurugenzi kilichopo kata ya Kimandolu mapema asubuhi ya leo.
Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika Kituo cha Kijenge Sokoni Kata ya Kimandolu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu