Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano January Makamba akikagua timu wakati wa mechi ya Ligi Daraja la kwanza baina ya Coastal Union na Polisi dar uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano January Makamba kulia akikagua timu wakati wa mechi ya Ligi Daraja la kwanza baina ya Coastal Union na Polisi dar uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1. Kushoto ni Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union Steven Mguto.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katika akishiriki kwenye uhamasishaji wa nyimbo wakati timu ya Coastal Union ilipocheza na Polisi Dar kwenye mchezo uliomalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati akitokea kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano January Makamba akizungumza na timu zote mbili kabla ya kuanza mchezo huo.
Waachezaji wa timu zote mbili wakisalimiana kabla ya kuanza mchezo huo.
Kikosi cha timu ya Coastal Union ambacho kimeanza dhidi ya Polisi Dar.
Kikosi cha timu ya Polisi Dar ambacho kiilichocheza dhidi ya Coastal Union.
Mchezaji wa timu ya Coastal Union kushoto akiwani mpira dhidi ya wa Polisi Dar katika mchezo wa Ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1. (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: