Thursday, January 4, 2018

WAZIRI MKUU ATOA POLE TYA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA

Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 3, 2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna  Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya  Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki  jana.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akimfariji Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola kwenye msiba wa mkewe MarehemuKamishna Msaidizi wa  Polisi Mary Lugola Gerezani Railyways Club jijini Dar es salaam juzi  January 3, 2018 (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ,akitoa pole kwa wafiwa alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 3, 2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki juzi tarehe 1/1/2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa pole kwa wafiwa alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 3, 2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki juzi tarehe 1/1/2018.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu