Tuesday, January 9, 2018

WEKUNDU WA MSIMBAZI SIMBA SC WAPOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI DAR WAKITOKEA ZANZIBAR

Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamewasili leo Jijini Dar es salaam na kupokelewa kwa shangwe na mashabiki wao wakati wakitokea visiwani Zanzibar ambapo jana walipoteza mchezo wao kwa kufungwa na URA ya nchini Uganda bao1 kwa 0.
Gari la wekundu wa msimbazi likiwa limepaki bandari salama kuwachukua wachezaji.
Wachezaji wa Simba SC, Nicolaus Gyan, Asante Kwasi walipowasili leo jijini Dar es salaam kutokea visiwani Zanzibar mara baada ya kuondolewa katika Michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kushika nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi A.
Mshambuliaji wa Wekundu wa Msimbazi Shiza Ramadhani Kichuya alipokataa kuzungumza na waandishi wa habari bandarini hapo Jijini Dar es salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu