Wednesday, February 21, 2018

AIRTEL YAENDELEA KUWANOGESHA WATEJA WAKE UHONDO WA PROSHENI YA SMATIKA INTANETI

 Mkazi wa jijini Dar es Salaam na mshindi wa SHINDA NA SMATIKA Intaneti, Stephen Lugambwa  akibonyeza kifute kutafuta mshindi wa promosheni hiyo jana. Kwenye promotion hiyo, wateja 1000 wa Airtel hujishindia kifurushi cha 1GB kila siku huku wengine wakishinda simu za smartphone na modem. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
 Mkazi wa jijini Dar es Salaam na mshindi wa SHINDA NA SMATIKA Intaneti, Muhidin Mponda akibonyeza kifute kutafuta mshindi wa promosheni hiyo jana. Kwenye promotion hiyo, wateja 1000 wa Airtel hujishindia kifurushi cha 1GB kila siku huku wengine wakishinda simu za smartphone na modem.
 Meneja Maduka ya Airtel, Celine Njuju akikabidhi simu ya smartphone moja ya mshindi wa promosheni ya SHINDA NA SMATIKA Stephen Lugambwa. Kwenye promotion hiyo, wateja 1000 wa Airtel hujishindia kifurushi cha 1GB kila siku huku wengine wakishinda simu za smartphone na modem.
 Meneja Maduka Airtel, Celine Njuju akikabidhi simu ya smartphone moja ya mshindi wa promosheni ya SHINDA NA SMATIKA Muhidin Mponda. Kwenye promotion hiyo, wateja 1000 wa Airtel hujishindia kifurushi cha 1GB kila siku huku wengine wakishinda simu za smartphone na modem.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu