Tuesday, February 13, 2018

AWESO ATAKA MIRADI YA MAJI IKAMILIKE KWA WAKATI

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso akikagua bomba la DAWASA linalosambaza Maji ya Ruvu Juu iliyopo maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso akikagua Mradi wa visima 20 eneo la Kisarawe II katika mji wa Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso aendelea na ziara ya kukagua maendeleo ya Miradi ya Maji Mji wa Kigamboni Jijini Dar es salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu