Friday, February 23, 2018

BURIAN AKWILINA AKWELINA, KUZIKWA KIJIJINI KWAO ROMBO LEO FEB 23, 2018

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji NIT, Akwilina Akwilini kilichotokea Februari 16 mwaka huu. Picha zote na Emmanuel Massaka,MMG.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji NIT, Akwilina Akwilini kilichotokea Februari 16 mwaka huu.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji NIT, Akwilina Akwilini kilichotokea Februari 16 mwaka huu. 
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisari Matiku Makori akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji NIT, Akwilina Akwilini katika viwanja vya NIT, Mabibo.
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Lazaro Mambosasa akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji NIT, Akwilina Akwilini kilichotokea Februari 16 mwaka huu
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji NIT, Akwilina Akwilini kilichotokea Februari 16 mwaka huu.
Waombolezaji waliohudhuria shughuli ya kuuaga mwili wa Mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji NIT, Akwilina Akwilini kilichotokea Februari 16 walijikuta wakishindwa kujizuia na kuangua kilio huku wengine wakizimia baada akitoa heshima za mwisho.
Mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji NIT, wakiwa wamebeba jeneza

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu