Wednesday, February 28, 2018

HERI YA KUZALIWA MHE. SIRIEL SHAIDI MCHEMBE

Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Shaidi Mchembe.

Heri ya siku yako ya kuzaliwa, tunakuombea ustawi zaidi katika kila eneo zaidi sana katika ujenzi wa TANZANIA MPYA.

MUNGU akubariki wewe na kazi za mikono yako, ulinzi na uongozi wake ukawe pamoja nawe daima.

===== AMEN =====

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu