Saturday, February 24, 2018

MAC AUTO ACCESSORIES WAJA NA KAPETI ZA MAGARI ZA KISASA

Ona muonekano wa kijanja na kisasa....
Hebu lifanye gari lako liwe na muonekano wa kisasa zaidi kwa kujipatia Kapeti za Kisasa za Magari (3D Carpets) aina zote, Kapeti hizo ni imara na zenye muonekano wa kuvutia kabisa.

Bei zetu ni sawa na bure kabisa, usisite kututembelea tupo Sinza Mori uliza Mac Auto Accessories.

MacTemba via 0715 000 890/0674 120 000

Instagram @macautoaccessories

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu