Wednesday, February 7, 2018

PICHA YA LEO: RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NA MAKOMANDOO WA JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya askari wa vikosi maalumu (makomandoo) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kufungua kituo cha mafunzo maalumu ya kijeshi huko Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani Februari 6, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo. Picha na IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu