Polepole akimnadi Mtulia kwa wananchi.
Mtulia na Polepole wakionyesha furaha jukwaani wakati wakishangiliwa na wananchi.
"Ukishachaguliwa hawa wananchi wasaidie sana kutatua matatizo yao, maana wanakuamini na wanaaiamini CCM ndiyo maana watakuchagua" akasema Polepole kumwambia Mtulia (kushoto).
" Na utatutuzi wa matatizo ya wanancho kwako utakuwa rahisi ukitumia Ilani hii ya CCM, maana kila kitu kimo humu" akaongeza Ndugu Polepole kumwambia Ndugu Mtulia kabla ya kumkabidhi kitabu hicho cha Ilani ya CCM ya 2015-2020.
Wananchi na wana CCM wakilipuka kwa nderemo wakati Ndugu Polepole akimnadi Mtulia.
Kisha akamuasa zaidi
Wananchi wakizidi kushangilia kwa vifijo
Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Mulid Mtulia akiomba kura katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: