Friday, February 2, 2018

TBL YATOA UFAFANUZI JUU YA MADAI KUDUKULIWA MFUMO WAKE WA TAARIFA

Mkurugenzi wa Masoko wa TBL - Afrika Mashariki, Thomas Kemphuis akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitolea ufafanuzi juu ya taarifa za kudukuliwa kwa mfumo wa mtandao wao wa kuhifadhi taarifa na kusisitiza kuwa mfumo wa taarifa zao zipo salama. Kushoto ni Meneja Masoko, Udhamini, Habari na Promosheni za Wateja - Afrika Mashariki, George Kavishe na Kulia ni Meneja Mawasiliano ya Nje wa TBL, Zena Tenga.
Meneja Masoko, Udhamini, Habari na Promosheni za Wateja - Afrika Mashariki, George Kavishe akifafanua jambo.

*Yatangaza punguzo la bei ya rejareja kwa bia ya Castle Lite Premium Lager.


Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), leo imetoa ufafanuzi juu ya taarifa za kudukuliwa kwa mfumo wake wa kuhifadhi taarifa na kusisitiza kuwa mfumo wako na taarifa zake zipo salama.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu