Wednesday, February 28, 2018

UAE YAJIPANGA KUWAJENGEA NYUMBA WATU WALIOPATA MAAFA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed kulia akizungumza na Ujumbe wa Mwezi Mwekundu wa Emarates kuhusiana na utiliaji saini Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed aliesimama kulia akiwa pamoja na Msaidizi Balozi wa Emarates, Muhammed Ibrahim Al-Bahri wakishuhudia utiaji saini Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
Mkurugenzi wa Kamisheni ya Maafa zanzibar Shaaban Seif Mohammed akibadilishana hati ya saini na Mkurugenzi wa Maafa wa Emarates, Said Mohammed Al-humaini kuhusiana na Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Mwezi Mwekundu wa Emarates baada ya kutiliana saini Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu