Tuesday, February 27, 2018

WAADVENTISTA WA SABATO WA WASAIDIA GEREZA LA RUANDA-MBEYA

 Makamu mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ulimwenguni Mch Geoffrey Mbwana leo ametembelea Gereza la Mahabusu na Wafungwa la Ruanda jijini Mbeya na kukabidhi mabati, viti, Saruji, Sabuni, Mawe na Mchanga na mLA awe ya kujengea ambavyo vimetolewa na waumini wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato jijini MbeyaNo comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu