Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, akizungumza wakati wa kuweka jiwe la msingi wa kisima cha maji katika kata ya Kisukulu ikiwa sehemu ya maadhimisho ya wiki ya maji katika Wilaya hiyo ambapo Kisima hicho kitaweza kusaidia wakazi wote wa kata hiyo.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema,akikata utepe na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wa Kata ya Kisukulu wakati wa  kuweka jiwe la msingi wa kisima kirefu cha maji cha kata ya Kisukuru.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, akizindua jiwe la msingi la ujenzi wa Kisima cha maji cha kata ya Kisukuru leo.
 Diwani wa kata ya Kisukuru, Joseph Kasaenda akitoa neno la Shukrani kwa mkuu wa Wilaya mara baada ya uzinduzi wa jiwe la msingi katika kata hiyo.
 Makada wawili wa Chama Cha Mapinduzi na CHADEMA, wakiteta jambo wakati wa uzinduzi wa jiwe la msingi la Kisima Cha Maji.
 baadahi ya wakazi wa Kisukulu waliofika katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi wa uzinduzi wa kisima cha maji.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: