Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP, Simon Sirro akiwasili katika viwanja vya Mahafali ya kiwatunuku Askari Polisi waliohitimu astashahada na stashahada za Sayansi ya Polisi na Upelelezi kutoka vyuo vya Polisi. Sherehe zilifanyika katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP, Simon Sirro akitoa hotuba katika Mahafali ya kuwatunuku Askari Polisi waliohitimu astashahada na stashahada za Sayansi ya Polisi na Upelelezi kutoka vyuo vya Polisi. Sherehe zilifanyika katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Polisi.
Baadhi ya wahitimu waliohitimu astashahada na stashahada za Sayansi ya Polisi na Upelelezi kutoka vyuo vya Polisi wakiwa kwenye Sherehe zilifanyika katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: