Thursday, March 8, 2018

IGP SIRRO NA KAMISHNA CHOGERO WAAPISHWA KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA POLISI NA MAGEREZA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akiapa mbele ya Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari kuwa mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza. Tukio hilo limefanyika leo Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro (kulia), akipokea hati ya kiapo kutoka kwa Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari, ambayo inamuwezesha kuwa mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza. Tukio hilo limefanyika leo Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Polisi
Kamishna wa Uhamiaji, Edward Chogero (kulia), akipokea hati ya kiapo kutoka kwa Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari, ambayo inamuwezesha kuwa mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza. Tukio hilo limefanyika leo Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Polisi
Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari, akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro(kulia) na Kamishna wa Uhamiaji,Edward Chogero (kulia), baada ya kuwaapisha kuwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza.Tukio hilo limefanyika leo Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.Picha na Jeshi la Polisi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu