Viongozi wa Benki ya FINCA pamoja na viongozi wa serekali wakijumuika katika ghafla ya kushrekea miaka 20 ya FINCA Tanzania.
Afisa Mtentaji wa FINCA Tanzania Issa Ngewgwe akionyesha tuzo aliopewa na uongozi wa FINCA duniani kuhitimisha miaka 20 ya FINCA Tanzania. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya FINCA, Mike Gama-Lobo, (mwenye shati jeupe) Afisa Mtendaji Mkuu, FINCA Tanzania, Issa Ngewgwe, (aliyevaa gauni na rangi ya machungwa) Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shabaan, (anayemfuata gani jeusi) Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa makapuni ya FINCA Duniani, Andree Simon, (aliyevaa suti ya bluu) Naibu Gavana wa BoT, Dr. Bernard Kibesse, (aliyevaa gauni jeupe) Mchumi Mwandamizi, Wizara ya fedha na Mipango, Deonisia Mjema.
Kati ya wateja wa Benki ya FINCA (kulia) Perpetua John akipokea Tuzo ya ufanisi kutoka kwa Afisa Mkuu wa utawala wa Benki ya FINCA Tanzania, Mary Magoire Maridadi, katika sherehe ya kuhitimisha miaka ishirini ya FINCA Tanzania.
Kati ya wateja wa Benki ya FINCA Tanzania, tawi la Arusha, Jimmy Ngowi akipongezwa na Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa makapuni ya FINCA Duniani, Andree Simon baada ya kUpokea Tuzo ya ufanisi kutoka kwa uongozi wa Benki ya FINCA katika sherehe ya kuhitimisha miaka ishirini ya FINCA Tanzania.
Naibu Gavana wa BoT, Dr. Bernard Kibesse.
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa makapuni ya FINCA Duniani, Andree Simon.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shabaan.
Afisa Mtendaji Mkuu, FINCA Tanzania, Issa Ngewgwe.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: