Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya NAMTUMBO mkoani RUVUMA, limefikia maamuzi ya kumkataa mkuu wa wilaya hiyo LUCKNESS AMLIMA na kumuomba rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli kufanya mabadiliko kwa kumuondoa ili kuharakisha shughuli mbali mbali za maendeleo katika wilaya hiyo ambazo zimekwama kutokana na migongano na migogoro ya mara kwa mara baina yake na viongozi mbalimbali wa kisiasa katika halmashauri hiyo wakiwemo madiwani na wananchi.


Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: