Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Taifa(UWT), Amina Makilagi akizungumza wakati wa warsha ya Wanawake Wajasiliamali iliyoandaliwa na Uhuru Fm katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
 Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara  na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na Wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa warsha ya Wanawake Wajasiliamali iliyoandaliwa na Uhuru Fm katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
 Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Radio cha Uhuru Fm, Angel Akilimali akizungumza kuwakaribisha wanawake wajasiliamali wakati wa warsha ya Wanawake Wajasiliamali iliyoandaliwa na Uhuru Fm katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
 Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara  na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya akikabidhi Cherehani kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Radio cha Uhuru Fm, Angel Akilimali kwa ajili ya Wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa warsha ya Wanawake Wajasiliamali iliyoandaliwa na Uhuru Fm katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
 Mtangazaji wa kipindi Wanawake na ujasilimali cha Uhuru Fm akizungumza na Wanawake waliofika katika Warsha hiyo kujifunza mbinu mbalimbali.
 Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara  na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya  na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Taifa(UWT), Amina Makilagi  wakikagua bidhaa za Wajasiliamali waliofika katika Warsha iliyoandaliwa na Uhuru Fm.
 Wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa Warsha ya Ujasiliamali iliyoandaliwa na kituo cha Radio cha Uhuru Fm.
Wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa Warsha ya Ujasiliamali iliyoandaliwa na kituo cha Radio cha Uhuru Fm.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: