Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua zilizochukuliwa na wizara kwa kufungia baadhi ya nyimbo zinazokiuka maadili, kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Juliana Shonza na kulia Msanii wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’.
Naibu Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua zilizochukuliwa na wizara kwa kufungia baadhi ya nyimbo zinazokiuka maadili, katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe na kulia ni Msanii wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’.
Msanii wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’ (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maridhiano yaliyofikiwa kati yake na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo jana jijini Dar es Salaam, Katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe na kushoto ni Naibu Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza. Picha na Idara ya Habari - MAELEZO.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: