Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Henry Kinabo akifurahi mara baada ya kumkabidhi  Babu Molell NAMBA ya ushiriki wa mbio za kilomita 21 Tigo Kili Half Marathon zitakazotimua vumbi siku ya jumapili wiki hii mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Henry Kinabo akimkabidhi Babu Molell NAMBA ya ushiriki wa mbio za kilomita 21 Tigo Kili Half Marathon zitakazotimua vumbi siku ya jumapili wiki hii mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Mzee Joram Mollel maarufu BABU mwenye umri zaidi ya miaka 90 akijisajili kushiriki mbio za kilomita 21 Tigo Kili Half Marathon zitakazotimua vumbi siku ya jumapili wiki hii mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Mtoa huduma wa Tigo, Mohammed Ally akiwasajili Aghata Philii na Poling Nikesa raia wa Zambia kushiriki mbio za Tigo Kili Half Marathon kwenye viwanja vya Kibo Palace Arusha juzi. Mbio zinatarajiwa kutimua vumbi jumapili ya wiki hii Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: