Dkt. Avemaria

Wizara ya elimu sayansi na teknolojia imetoa taarifa kwa umma juu ya vigezo vya mwanafunzi anaefaa kujiunga na masomo ya kidato cha tano kwa mwaka 2018.

Miongoni mwa vigezo vilivyotajwa kwenye taarifa hiyo ni mwanafunai anaejiunga na kidato cha tano asizidi umri wa miaka 25.

Taarifa ambayo ilitolewa awali ilionesha miaka 20 lakini baadae Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avemaria alieleza kwamba kulikuwa na mokosa ya kiuandishi badala ya 25 iliandikwa 20 hivyo ikatolewa taarifa nyingine iliyoonesha miaka 25 ambayo ni huu hapo chini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: