Mbunge wa Jimbo la Mbagala Bwana Issa Mangungu wa tatu kutoka (kulia) akipokea kiti toka kwa Bi. Fatuma Shija ambaye ni Mdau wa Elimu, Michezo na Mwenyekiti Msaidizi wa Kamati ya Shule ya Msingi Kingugi iliyopo Mbagala Wilayani Temeke Jijini Dar es Salaam. Wakati wa Kikao cha kujadili chagamoto zinayoikabili Shule hiyo mapema leo asubuhi. Wanne kutoka (kulia) ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya Shule Bi. Leah Robert. (Picha na Godfrey Peter)
 Mbunge wa Jimbo la Mbagala Bwana Issa Mangungu wa tatu kutoka (kushoto) akipokea Meza toka kwa Bi. Fatuma Shija wa pili (kushoto) ambaye ni Mdau wa Elimu, Michezo na Mwenyekiti Msaidizi wa Kamati ya Shule ya Msingi Kingugi iliyopo Mbagala Wilayani Temeke Jijini Dar es Salaam. Wakati wa Kikao cha kujadili chagamoto zinayoikabili Shule hiyo mapema leo asubuhi. 
 Mbunge wa Jimbo la Mbagala Bwana Issa Mangungu, akizungumza na Wazazi pamoja na Wadau wa Elimu (hawapo pichani) wakati wa Kikao cha kujadili chagamoto zinayoikabili Shule ya Msingi Kingugi iliyopo Mbagala Wilayani Temeke Jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi. 
Picha ni sehemu ya Wazazi na Wadau wa Elimu wakifuatilia mazungumzo ya Mbunge wa Jimbo la Mbagala Bwana Issa Mangungu wakati wa Kikao cha kujadili chagamoto zinayoikabili Shule ya Msingi Kingugi iliyopo Mbagala Wilayani Temeke Jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: