Waziri wa Haki na Katiba, Prof Palamaganda Kabudi akionesha kitabu cha vyeti vya kuzaliwa pamoja na simu ya kisasa alipozindua zoezi la usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa njia ya mtandao kwa mikoa ya Mara na Simiyu leo. Tigo imetoa simu 1125 za thamani ya Tsh 77milioni kufanikisha zoezi hill. Kulia ni Mwenyekiti was Bodi ya RITA, Prof. Hamisi Dihenga.
Waziri wa Haki na Katiba, Prof Palamaganda Kabudi akikabidhi cheti cha kuzaliwamara baada ya kuzindua zoezi la usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa njia ya mtandao kwa mikoa ya Mara na Simiyu leo. Tigo imetoa simu 1125 za thamani ya Tsh 77milioni kufanikisha zoezi hill.
Wafanyakazi wa Tigo wakiendelea kufanya usajil kwa wakazi wa Musoma baada ya uzindua zoezi la usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa njia ya mtandao kwa mikoa ya Mara na Simiyu . Tigo imetoa simu 1125 za thamani ya Tsh 77milioni kufanikisha zoezi hill.
Kikundi cha burudani kiktumbuiza wakati wa uzinduzi wa zoezi la usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa njia ya mtandao kwa mikoa ya Mara na Simiyu . Tigo imetoa simu 1125 za thamani ya Tsh 77milioni kufanikisha zoezi hill.
Waziri wa Haki na Katiba, Prof Palamaganda Kabudi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo na RITA na mara baada ya uzinduzi wa zoezi la usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa njia ya mtandao kwa mikoa ya Mara na Simiyu . Tigo imetoa simu 1125 za thamani ya Tsh 77milioni kufanikisha zoezi hill.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: