Wednesday, March 7, 2018

WAJUMBE WA KAMATI YA UFUNDI YA KUHIFADHI URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA WAKUTANA KUJADILIANA NAMNA NA UBORESHA UHIFADHI WA NYARAKA ZA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Balozi wa Afrika ya Kusini nchini Mhe. Thamsanga Dennis Msekelu (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake kujadili masuala mbalimbali ya uhifadhi wa urithi wa ukombozi wa bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) katika picha ya pamoja na Balozi wa Afrika ya Kusini nchini Mhe. Thamsanga Dennis Msekelu (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake kujadili masuala mbalimbali ya uhifadhi wa urithi wa ukombozi wa bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati ya ufundi ya uhifadhi wa urithi wa ukombozi wa bara la Afrika alipokutana na kamati hiyo leo jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kuboresha na kuendeleza taarifa za urithi wa ukombozi wa bara la Afrika.
 Mratibu wa uhifadhi wa kumbukumbu za urithi wa ukombozi wa bara la Afrika Bibi. Ingiahedi Mduma (kulia) akizungumza wakati wa kikao na kamati ya ufundi ya uhifadhi wa urithi wa ukombozi wa bara la Afrika kujadili masuala mbalimbali ya kuboresha na kuendeleza taarifa za urithi wa ukombozi wa bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa kikao hicho Bibi. Joyce Fissoo.
Mjumbe wa kamati ya ufundi ya uhifadhi wa urithi wa ukombozi wa bara la Afrika Bw. John Ngowo (kushoto) akichangia mada wakati wa kikao na kamati ya ufundi ya uhifadhi wa urithi wa ukombozi wa bara la Afrika kujadili masuala mbalimbali ya kuboresha na kuendeleza taarifa za urithi wa ukombozi wa bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Genofeva Matemu - WHUSM.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu