Tuesday, April 3, 2018

MAMA SAMIA MGENI RASMI WARSHA YA MWAKA YA REPOA

Mkurugenzi Mkuu wa REPOA, Dr Donald Mmari akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Warsha ya siku mbili ya mwaka kwa Tasisi hiyo itakayofanyika katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam yenye mada ya Tanzania kuelekea Uchumi wa kati ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu anataraji kuwa mgeni rasmi.
Mtafiti kutoka REPOA, Blandina Kilama akizungumza na Waandishi wa Habari kufafanua jambo juu ya umuhimu wa mada hiyo Tanzania kuelekea Uchumi wa Viwanda.
Mtafiti Kutoka REPOA,Dk Jamal Msami, akieleza namna uchumi wa viwanda unavyoleta tija kutokana na tafiti zilizofanywa nchini.
Sehemu ya Waandishi wa Habari na wadau wengine walioshiriki katika Mkutano huo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu