Friday, April 6, 2018

NAFASI 3000 ZA KAZI, ZANUKIA KIWANDA CHA TUMBAKU SONGEA


Kiwanda cha kusindika Tumbaku cha Songea – Namtumbo ( SONAMCU) kilichopo Songea Mjini mkoani Ruvuma kinatarajia kutoa nafasi za Ajira elfu tatu (3000) baada ya kufufuliwa.

Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa Chama hicho Salum Brashi katika mahojiano na Ruvuma TV.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu