Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wageni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Maharage Chande (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Maharage Chande.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Maharage Chande (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Bunge la Malawi Mhe. Kamlepo kalua (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu, Thomas Makiwa. PICHA NA OFISI YA BUNGE.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: