Tuesday, April 10, 2018

TWIGA STARS YAREJEA NA SARE YA 4-4 DHIDI YA ZAMBIA

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) imerudi nchini leo Alfajiri ikitokea nchini Zambia kwenye mchezo wake wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake ilikocheza na Zambia na kutoka sare ya kufungana 1-1. Baada ya kurejea Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Kidao Wilfred alikutana na Wachezaji na benchi la ufundi kabla ya kuvunjwa kwa Kambi. Twiga Stars imetolewa kwa jumla ya magoli 4-4.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu