Thursday, April 5, 2018

UJENZI WA SOKO LA KISASA ENEO LA KISUTU WAJA

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiwa katika matukio tofauti leo mchana wakati wa kupokea taarifa ya utekelezaji wa ujenzi wa soko la kisasa eneo la Kisutu la ukubwa wa ghorofa nne , ambalo litawachukua wafanyabiashara 1,500 maegesho ya magari na huduma za kifedha (Benki) Picha na Heri Shaaban).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu