Wednesday, April 11, 2018

WAKULIMA WA KOROSHO TANDAHIMBA WAIDAI KAMPUNI YA JOPHULO LIMITED ZAIDI YA BILIONI 3, WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI

Wakulima wa zao la korosho wilaya ya Tandahimba na Newala mkoani Mtwara wamelalamikia kitendo cha kampuni ya JOPHULO LIMITED kutowalipa fedha zao zenye thamani zaidi ya Shilingi bilioni 3 tangu kufanyika kwa mnada wa 11 Disemba mwaka jana .

Wakizungumza na Ruvuma Tv , wakulima hao wanasema hali hiyo inawafanya kushindwa kujipanga na msimu mpya wa kilimo ambapo wanatumia nafasi hii kuomba serikali kuingilia kati sakata hilo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu