Tuesday, April 17, 2018

WATIA MIMBA,WATETEZI WA WATIAMIMBA,KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME amewaagiza viongozi wote wa halimashauri katika mkoa huo kuhakikisha kuwa wanawachukulia hutua wale wote wanaohusika kuwapa mimba watoto wa shule.

Hayo ameyabainisha wakati wa kujadili tathimini ya elimu baada ya kubainika wanafunzi wengi wanajiusisha na mapenzi na kupelekea mkoa huo kufanya vibaya katika matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2017.

HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu