Huu ndio msaada ulitolewa na kampuni ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa kwa ajili ya kituo cha Watoto Yatima Tosamaganga, nje kidogo ya manispaa ya Iringa kwa lengo la kuwapa faraja ya kusherekea sikuku ya pasaka wakiwa na furaha
Watoto wa kituo cha Watoto Yatima Tosamaganga wakiwafurahia kupewa zawadi ya pipi ambazo zinatengenezwa na kampuni ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa ambazo zipo kwenye ubora unaotakiwa.

Baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi mkoa wa Iringa wakifurahi kutumia bidhaa bora kabisa kutoka kampuni ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa ambazo zipo kwenye ubora unaotakiwa walipokuwa wameenda kuwatembelea watoto wa kituo cha Watoto Yatima Tosamaganga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: