Waziri Mkuu wa Israel Mhe. Benjamin Netanyahu (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga kwa ajili ya kufanya mazungumzo jijini Jerusalem, Israel leo. Wawili hao walikubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo, elimu, afya, utalii na uwekezaji.
Waziri Mkuu wa Israel, Mhe. Benjamin Netanyahu akiwa tayari kuanza mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga ukiwa katika mazungumzo rasmi na Mhe. Netanyahu.
Pande mbili zikiwa katika mazungumzo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: