Mwenyekiti wa Kamati ya shughuli ya Forodha Women Group akitoa neno la ukaribisho kwa wanachama wa chama hicho wakati wa sherehe yao ya Mwaka iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Mtunza Hazina  wa Chama Cha Forodha Women Group  akizungumza jambo mara baada ya kutajwa kuwa ndiye mwanachama bora wa mwaka katika kikundi chao.
 Mwenyekiti wa Forodha Women Group akitoa hotuba yake kwa wana kikundi wakati wa sherehe ya Mwaka.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: