Friday, May 11, 2018

MBUNGE JESCA KISHOA WA CHADEMA APATA AJALI DODOMA

Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Jesca Kishoa amepata ajali leo Ijumaa Mei 11, 2018 karibu na jengo la Bunge mjini Dodoma.

Mbunge huyo kwa sasa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Bunge japo inasemekana hali yake si mbaya sana.

Mume wake David Kafulila amethibitisha.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu