Wednesday, May 16, 2018

MFANYA BIASHARA MKOANI RUVUMA AJIKUTA MKONONI MWA POLISI BAADA YA KUHIFADHI BIDHAA CHOONI


Wafanyabiashara Watatu katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma,Wanashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kutunza bidhaa katika maghala yasiyotambulika na serikali, huku mwingine akihifadhi bidhaa katika mazingira hatarishi kwa afya ya mwanadamu (Chooni).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu