Friday, May 11, 2018

MWILI WA MWANDISHI WA HABARI CASIAN NYANDINDI UMEAGWA LEO MEI 11, 2018

Mwili wa Mwandishi wa Habari wa gazeti la Majira wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma pia ambaye alikuwa mmiliki wa blog ya nyandindi2006.blogspot.com Casian Nyandindi, umeagwa leo katika hospital ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma na kusafirishwa kupelekwa nyumbani kwao wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika hapo kesho.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu