Mapema leo asubuhi wakati wa Sara ya Kitaifa jijini Nairobi, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemuomba msamaha muhasimu wake Raila Odinga na kutaka tofauti zao za kisiasa walizokuwa nazo kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Kenya ziweze kuisha na waijenge nchi yao. Huku nae Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto akifanya hivyo hivyo kwa Kalonzo Musyoka.


Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: