Mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME ameifutia leseni kampuni ya ZUMA CARGO kwa upotezu wa tani kumi na tano za korosho ambazo hazijulikani ziliko na kuiagiza Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa mkoa wa Ruvuma TAKUKURU kuhakikisha wanafanya uchunguzi wa jambo hilo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: