Wednesday, May 9, 2018

RC RUVUMA ATOA SIKU SABA KWA VYAMA VYA MSINGI KULIPA MILIONI 700 KWA WAKULIMA WA KOROSHO

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME ametoa siku saba kwa vyama vya msingi vya chama kikuu cha ushirika (TAMCU) wilaya ya TUNDURU mkoani humo kuwalipa wakulima wa korosho milioni mia mbili ambazo wanadai.
HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu