Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mwalimu Mchungaji Christopher Mwakasege (kulia) alipomtembelea leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Ndg. Diana Mwakasege (kulia) ambae ni mke wa Mwalimu Mchungaji Christopher Mwakasege walipomtembelea leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Mwalimu Mchungaji Christopher Mwakasege
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mhe. Anna Lupembe (aliesimama) pale ugeni ulioongozwa na Mwalimu na Mchungaji Christopher Mwakasege (wa tatu kulia) alieambatana na Mke wake Ndg. Daina Mwakasege (wa pili kulia) walipomtembelea leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na kiongozi wa Msafara Mwalimu na Mchungaji Christopher Mwakasege (katikati) ambae pia anatoa huduma ya Mana pamoja na Mke wake Ndg. Daina Mwakasege (wa pili kulia) walipomtembelea leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA, OFISI YA BUNGE).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: