Saturday, May 5, 2018

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA WA MASUALA YA MANUNUZI AGOSTI 8 MPAKA 10 MWAKA HUU

 Kamishna wa Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma Wizara ya Fedha na Mipango, Dk.Frewdrick Mwakibinga akizungumza juu ya Kongamano la Kimataifa la Ununuzi wa Umma linalo taraji kufanyika Agosti 8 mpka 10 Jijini Arusha  ambapo litaweza kuzikutanisha nchi zaidi ya 50 kutoka kila pembe ya Dunia.

 Afisa Uhusiano kutoka Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi PSPTB, Shamimu Mwasha akizungumza jambo wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari juu ya kongamno hilo kubwa litakalo fanyika nchini.
 Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi kutoka tasisi mbalimbali zilizopo chini ya Wizara ya fedha wakifatilia kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa kamati hiyo ya Maandalizi.
 Kamishna wa Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma Wizara ya Fedha na Mipango, Dk.Frewdrick Mwakibinga ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa kimataifa wa Masuala ya Manunuzi akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu