Wilaya ya TUNDURU imefanikisha kukusanya kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 600 kutoka kwa wakulima wa zao korosho,ambapo fedha hizo zitatumika katika kuboresha miundombinu ya elimu pamoja na kuboresha kiwango cha cha ufahuru kwa wanafunzi na kupunga msongamoto wa wanafunzi katika madarasa.

Kutokana na hutua hiyo mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME akawaonya viongozi wote watakaokwenda kinyume na utaratibu katika mtumizi ya fedha hizo.
HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE .
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: