Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas akiwasili katika katika Taasisi ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kushughulikia Masuala yaliyoachwa na Mahakama za jinai za umoja wa mataifa zilizoko eneo la Laki laki jijini Arusha Tanzania,wapili kulia ni Afisa Mkuu wa Mambo ya nje katika taasisi hiyo Ousman Njikam ,kushoto ni Msimamizi Mkuu wa Msajili wa Mahakama Sera Attika. Picha na mahmoud Ahmad.

Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas akisaini kitabu cha wageni ali[powasili katika katika Taasisi ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kushughulikia Masuala yaliyoachwa na Mahakama za jinai za umoja wa mataifa zilizoko eneo la Laki laki jijini Arusha nchini Tanzania .Kulia kwake ni Msimamizi Mkuu wa Msajili wa Mahakama Sera Attika . mahmoud ahmad

Msajili wa Mahakama ya jinai ya Umoja wa Mataifa UN nchini Tanzania Sera Attika akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas ,katikati ni Afisa Mkuu wa Mambo ya nje katika taasisi hiyo Ousman Njikam ,kufuatia ziara ya kwanza ya Wwaziri huyo kutembelea Taasisi ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kushughulikia Masuala yaliyoachwa na Mahakama za jinai za umoja wa mataifa zilizoko eneo la Laki laki.

Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas (katikati) akiwa katika Mahakama za jinai za umoja wa mataifa zilizoko eneo la Laki laki jijini Arusha Tanzania ,kushoto ni Msimamizi Mkuu wa Msajili wa Mahakama hiyo Sera Attika .Kulia ni Afisa Mkuu wa Mambo ya nje katika taasisi hiyo Ousman Njikam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: