Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Rombo Joseph Selasini, Bungeni jijini Dodoma, Juni 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Waziri TAMISEMI, Josephat Kandege, Bungeni jijini Dodoma Juni 7. 2018, katikati ni Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia, Bungeni jijini Dodoma, Juni 7. 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali Bungeni jijini Dodoma Juni 7. 2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, Bungeni jijini Dodoma Juni 7. 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: