Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kiongozi huyo kuondoka kurejea nchini kwake leo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini akiagana na askari wa JWTZ katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dkt. Raymond Mndolwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa CCM mkowa wa Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Wakuu wa Wilaya za Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake Leo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakipunga mikono kumuaga Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru wafanyakazi wa vitengo na ngazi mbali mbali kwa kufanikisha ziara ya Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe katika ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake leo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru askari wa usalama barabarani waendesha pikipiki kwa utendaji wao mzuri wakati wa ziara ya Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018. Picha na IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: