Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika (katikati) akionesha funguo ya gari kabla ya kukambidhi wa mshindi wa gari hilo kutoka Mpesa katika sherehe ya kutimiza miaka 10 ya Mpesa tangu kuanzishwa kwake iliyofanyika jana jijini Mbeya.
Mkurugenzi wa M-Commerce kutoka Vodacom Tanzania, Ashutosh Tiwary (kushoto) akimpa mkono wa pongezi mshindi wa gari kutoka promosheni ya 'Tumia Mpesa ushinde gari', Mkazi wa Tukuyu Wilayani Rungwe, Mbeya, Tumaini Msosi baada ya kukabidhiwa gari hilo juzi mchana wakati wa hafla ya kusherekea miaka 10 ya Mpesa tangu kuanzishwa kwake.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika (kushoto) akimkabidhi namba ya gari mshindi wa Mpesa Mkazi wa Tukuyu Wilaya ya Rungwe, Mbeya, Tumaini Msosi (kulia) jana baada ya kuibuka mshindi katika shindano ya mtumiaji bora wa Mpesa kutoka Vodacom wakati wa sherehe za Mpesa kutimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake ambazo zilifanyikia Jijini Mbeya. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mpesa kutoka Vodacom Tanzania, Ashutosh Tiwaryg.
Mawakala wa M-PESA wakikabidhiwa zawadi ua cheti na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika (kwanza kulia) katika sherehe ya kutimiza miaka 10 ya Mpesa tangu kuanzishwa kwake iliyofanyika jana jijini Mbeya.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: