Namtafuta Baraka Mtavangu mkazi wa jiji la Dar es Salaam popote alipo au kama kuna ndugu, jamaa au rafiki yake anayemfahamu naomba mnisaidie kumfikishia salamau zangu kuwa namtafuta, anipigie kwa namba 0787 999 774 Kajunason.

Baraka hauwezi fanya uhuni unaoufanya kwa mtu kama mimi, naomba ujitathimini haraka iwezekanavyo tumalizane kwa amani.

Baraka upatapo ujumbe huu naomba tuwasiliane haraka. Asante.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: